Picha, Sanamu nyingine ya Kanye West na Kim Kardashian wakipiga selfie.

Uingereza inazidi kuonyesha mapenzi kwa mastaa Kanye West na Kim Kardashian kwa kuwaweka kwenye sehemu tofauti kama sanamu zinazopiga Selfie.
Sanamuhizi ziko Madame Tussauds mjini London Zinamuonyesha Kanye na Kim wakipiga selfie na wewe unaweza kaa mbele au nyuma yao upige nao.
kimye-wax-1 kimye-wax-2 kimye-wax-3 kimye-wax-4 kimye-wax-5
Share on Google Plus

    Blogger Comment