Meek Mill anakesi ya kujibu,inamuhusu Nicki Minaj,Chris Brown,French Montana na Bieber.

 nickiminajmeekmill
Mmiliki wa nyumba aliyokodisha Meek Mill kwaajili ya pati yake ya tuzo ya grammy amefungua kesi ya madai ya uharibifu wa nyumba hio uliofanywa na Meek Mill na watu wake.
Nyumba iko Beverly Hills na wasanii waliohusika kuanda pati hio ni pamoja na Justin Bieber, Khloe Kardashian, French Montana, Chris Brown na Nicki Minaj .
Meek Mill hakutakiwa kuwa na watu zaidi ya sita kwenye pati hio ila Meek hakusikia na alizidisha watu hao mara tatu na kusababisha uharibifu mkibwa na sasa anadaiwa fidia
Share on Google Plus

    Blogger Comment